info@healingmissionaries.or.tz Dar es salaam , Tanzania
MAY 1ST PRAISE CRUSADE πΆπ₯ #PraiseCrusade | #JESUSINTHECITY ποΈ Wapeni Chakula Foundation (@wapenin...
Date: May 1, 2025
View MoreDescription: MAY 1ST PRAISE CRUSADE πΆπ₯ #PraiseCrusade | #JESUSINTHECITY ποΈ Wapeni Chakula Foundation (@wapenininyichakulafoundation @chakulatv) kwa kushirikiana na The Healing Missionaries (@thehealing_tz) wanakuletea tukio la kipekee kabisa la kusifu, kuabudu, na kuhubiri Injili! π Tarehe: 1 Mei 2025 π Mahali: Mwenge - Stand ya zamani (kwenye parking) π Muda: Kuanzia saa 9:00 Alasiri π₯ Kiingilio: Hakuna! (Ni bure kabisa) π Kauli mbiu: Praise Crusade π Tutaimba, tutaomba, tutasifu na kumshukuru Mungu kwa matendo yake makuu. Huu ni wakati wa kukutana na Mungu kwa njia ya sifa na ibada zenye nguvu. π Walete wagonjwa na wenye shida mbali mbali β Yesu mtenda miujiza atawaponya na kuwaweka huru kweli kweli! π€ UTAJIBU: Jesus in the City π₯ Usikose tukio hili la kiroho litakalotikisa jiji! Karibu ujionee nguvu za Mungu katika sifa, maombi na maonyesho ya kipekee ya ibada! π Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia: +255622850891 π£ Tangaza, shiriki, na njoo ushuhudie miujiza!
Location: Mwenge stand kwenye Parking
Date & Time: May 1, 2025, 12:00 AM